Na Ramadhan Hassan,Chamwino SHULE ya wanafunzi wenye mahitaji maalum ya Wasioona ya Buigiri Wilayani Chamwino mkoani Dodoma imemwangukia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan awasaidie Sh milioni 8 kwa mwezi kwa ajili ya kuendesha kituo hicho. Hayo yameelezwa Mei 12 mwaka huu na Mwalimu Mkuu Msaidizi…