Na Brighiter Masaki,Mtanzania Digital Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemuachia huru Mchekeshaji Idrisa Sultan(27) na wenzake waliokuwa wakikabiliwa na mashtaka ya kurusha maudhui mtandaoni bila kuwa na leseni baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini (DPP) kuwasilisha hati ya kutokuwa na nia ya kuendelea na mashtaka dhidi ya washtakiwa hao. Sultani…