Na Nora Damian, Dar es Salaam Tanzania ilisaini na kuridhia Mkataba wa Kimataifa wa Haki za Watu Wenye Ulemavu ambao pamoja na mambo mengine unazitaka nchi wanachama kuchukua hatua katika kutimiza wajibu wake kwa kuondoa ubaguzi kwa misingi ya ulemavu katika maeneo yote ya ajira kwani watu wenye ulemavu wana…