Na Upendo Mosha,Dodoma Waziri wa Kilimo, Profesa Adolf Mkenda, amesema hawezi kutumia mgambo kuzuia wakulima wa kahawa kung’oa miche ya kahawa mashambani na badala yake watafiti wafanye tafiti zenye tija katika kuongeza uzalishaji wa kahawa sambamba na kutoa elimu. Prof. Mkenda ameyasema hayo jana Alhamisi Juni 18, 2021 katika mkutano…