Wizara ya Maliasili na Utalii inapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa zinazoendelea kusambazwa kwenye baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuwa makundi makubwa ya nyumbu wanaotumia maeneo ya Hifadhi ya Taifa Serengeti, Eneo la Mamlaka ya Hifadhi Ngorongoro pamoja na maeneo ya Mapori ya Akiba ya Maswa, Ikorongo,…