Salome Bruno,TUDARCo Katika ulimwengu wa sasa kumekuwa na wimbi kubwa la vijana kukosa ajira sio kwa wasomi hata kwa wasiosoma. Janga hili limekuwa ni kubwa kwa kushindwa kutambua fursa zilizopo katika mazingira yanayotuzunguka kwa ujumla wake. Vijana wengi hawana uthubutu wa kuweza kutambua fursa katika mazingira yao husika, wengi…