Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata (Mb) Mulamula akiwa katika Mkutano wa 41 wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC. Kushoto ni Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Mwigulu Nchemba na kulia ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali Prof. Adelardius…